LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 14, 2023

MAANDALIZI YA MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU YAPAMBA MOTO SAME





 


Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni akiongoza kikao cha kwanza   na kamati ya wajumbe wa  maandalizi ya  mapokezi ya mbio za Mwenge wilaya ya Same 


DC Kaslida  ameiomba kamati ambayo ipo Ndani ya wilaya yake kufanya maandalizi ya kutosha mapema         ili kuondokana na Dosali kwenye sherehe za maadhimisho ya mbio za Mwenge ambayo zimeanza hivi karibu 


Pia amewataka wasimamizi wa Miradi yote waweze kukamilisha kwa wakati na wananchi waweze kupata huduma kwa haraka zaidi. 


Aliendelea kusema umoja na ushikamano ndiyo nguzo pekee ambayo tunaweza kufanikiwa. Na kuwashirikisha wadau ambao watahamasika kushiriki  kikamifu tukio la mapokezi ya mbio za Mwenge.


Pia Kaslida amewaomba wajumbe wa kamati  kutoa Hamasa kwa wananchi wa wilaya ya Same kushiriki kikamifu kwenye tukio hilo lengo ni mkusaidia Rais Samia Suluhu Hassan katika majukumu yake ya kujenga Taifa.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages