LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 14, 2023

SERIKALI KUAJIRI WATUMISHI 30,000 KATIKA MWAKA HUU WA FEDHA-RIDHIWANI

 Serikali katika Mwaka huu wa Fedha yaani 2022/23 imetoa vibali vya Ajira 30,000.Maelezo hayo yametolewa na Mh. Ridhiwani Kikwete, Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora alipokuwa anajibu Swali la Mbunge wa Mburu Mjini Mh. Zakaria Issay








 



No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages