LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 14, 2023

LONDO AWASILISHA TAARIFA YA KAMATI KUHUSU BAJETI YA TAMISEMI YA MWAKA 2023/2024+video

 Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Denis Londo akiwasilisha taarifa kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Ofisi ya Rais (TAMISEMI) kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 pamoja na Maoni ya Kamati kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages