LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 5, 2023

DKT MHAGAMA AWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMATI KUHUSU BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU 2023/2024+video


 Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Katiba na Sheria, Dkt Joseph Mhagama akiwasilisha bungeni Dodoma Aprili 5 kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Bajeti ya ofisi hiyo kwa mwaka 2023/2024.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Mhagama akiwasilisha taarifa na makadrio ya Bajeti hiyo.....


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages