LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 5, 2023

MARIAM NYOKA AITAKA SERIKALI IIPATIE MAGARI HOSPITALI YA MKOA WA RUVUMA+video


 Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Ruvuma, Mariam Nyoka amehoji bungeni Dodoma Aprili 5, 2023, kwamba Serikali haioni umuhimu wa kununua gari la utawala na Mganga Mfawidhi katika Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma?

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mariam akipambania magari hayo......

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages