LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 6, 2023

MBUNGE MGALU APAMBANIA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI+video


 Mbunge wa Viti Maalumu, Subira Mgalu amehoji bungeni Dodoma Aprili 5, 2023, kwamba ni lini serikali itatenga fedha kwa ajili ya uendeshaji wa mabaraza ya uwezeshaji wanawake kiuchumi.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mgalu akilipambania jambo hilo ...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages