Mar 1, 2023

WANAOBAINIKA KUINGIZA VIUATILIFU BANDIA KUFUNGWA+video

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) Prof. Joseph Ndunguru na Dkt Mohammed Mpina wa Idara ya Viuatilifu wakijibu maswali yaliyulizwa na mwandishi wa habari wa mtandao huu, Richard Mwaikenda walipokuwa wakielezea utekelezaji wa majukumu ya TPHPA katika mktano na waandishi wa habari kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari-MAELEZO jijini Dodoma Machi Mosi, 2023.

Dkt Mpina (picha ya chini) amesema kuwa watu watakaotiwa hatiani mahakamani kwa kuingiza nchini viuatilifu bandia hukumu yake ni kifungo na kwamba mitambo yetu ya upimaji viuatilifu ina ubora wa kimataifa.

Afisa Habari Mwandamizi wa Idara ya Habari- MAELEZO, Jonas Kamaleki akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) Prof. Joseph Ndunguru kuanza kuzungumza na vyombo vya habari.
Wanahabari wakisikiliza kwa makini wakati wa mkutano huo.
Wanahabari wakisikiliza kwa makini wakati wa mkutano huo.




PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, viongozi hao wakijibu maswali hayo....


 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages