Mar 1, 2023

SERIKALI KULIPA FIDIA WANANCHI WA MIANZINI JIJINI ARUSHA

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa, akisisitiza jambo wakati akikagua hatua za utekelezaji wa mradi wa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Mianzini - Olemringa - Ngaramtoni Juu na Olemringaringa - Sambasha–Timbolo (Km 18) ambao ujenzi wake umefikia asilimia 23, mkoani Arusha. Kushoto ni Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages