Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amezindua kituo kipya cha daladala karika soko jipya la Machinga katika makutano ya barabara ya Arusha na Bahi jijini Dodoma Machi Mosi, 2023, ambapo daladala kutoka sehemu mbalimbali za jiji hilo zitakuwa zinashusha na kupakia katika soko hilo.
Daladala zikiwa kituoni hapo
RC Senyamule akihutubia
Sehemu ya wamachinga
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, RC Senyamule akihutubia...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇