Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete akizungumza katika mkutano na vyombo vya habari jijini Dodoma Machi 23, 2023, kuhusu Tanzania kuungana Jumuiya ya Hali ya Hewa Duniani katika maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Naibu Waziri Mwakibete akitangaza maadhimisho hayo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇