Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT TAIFA), Mary Chatanda amewajia juu wanachama wa umoja huo wanaoanza kufanya kampeni kabla ya wakati wa uchaguzi na kwamba wakibambwa kufanya hivyo watawabana na adhabu yao ni kuwanyima fomu za kuwania uongozi uchaguzi unapowadia.
Chatanda ametoa onyo hilo alipokuwa akihitimisha mafunzo kwa wajumbu wa Baraza Kuu la UWT kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Machi 22, 2023.
Viongozi wa UWT Mkoa wa Katavi wakimpatia zawadi ya asali Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa, Zainab Shomari.
Wajumbe wa Baraza Kuu la UWT wakimshangilia Mwenyekiti wao, Chatanda baada kuwahutubia.
Chatanda akicheza alipokuwa akiondoka baada ya kuhitimisha mafunzo.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Chatanda akitoa onyo hilo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇