LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 24, 2023

SISI KAMA SISI KUTETEA NCHI YETU- Carolyn Kandusi

 Tunapoadhimisha miaka 60 ya Uhuru, ni vyema kukumbuka kwamba kila mmoja wetu kwa nafasi yetu tuna nafasi ya kujenga Tanzania yenye tumaini kwa wote! Hili ni ombi langu, tujumuike na tuungane kuijenga nchi yetu! Mungu ibariki Tanzania, Tubariki na watu wake!

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages