LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 20, 2023

CHONGOLO AKUTANA NA BALOZI WA MSUMBIJI, RWANDA JIJINI DAR ES SALAAM

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mheshimiwa Balozi Ricardo Ambrosio Mtumbuida (kushoto) katika Ofisi ya Katibu Mkuu, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mheshimiwa Balozi Ricardo Ambrosio Mtumbuida (kushoto) katika Ofisi ya Katibu Mkuu, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Meja Jenerali Balozi Charles Karamba (kulia) katika Ofisi ya Katibu Mkuu, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam.



 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages