LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 16, 2023

WANAOCHEZEA FEDHA MBICHI ZA SERIKALI KIFUNGO MIAKA 20 - TAKUKURU

 


 Kamanda waTaasisi ya Kuzuia Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Dodoma, Sosthenes Kibwengo amesema kuwa kosa la rushwa ikiwemo kufuja fedha mbichi za serikali bila kupeleka benki, watakaopatikana na hatia mahakamani watakubwa na adhabu ya kifungo cha miaka 20 na kurejesha fedha zilizofujwa.

Amebainisha hayo alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari ofisi za TAKUKURU Mkoa wa Dodoma Februari 15,2023.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Kibwengo akielezea hayo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages