LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 17, 2023

TATHMINI YA UFAULU WA MITIHANI KWENYE SEKONDARI ZA MUSOMA VIJIJINI (2020-2022)



Jumla ya Sekondari 27

*25 za Kata/Serikali

*2 za Madhehebu ya Dini

    (shule za binafsi)


Kikao cha kufanya tathmini:

*Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, aliitisha Kikao hicho kati yake yeye na Wakuu wa Shule zote.


Tarehe & Mahali pa Kikao:

*Ijumaa, 3.2.2023

*Busambara Sekondari

Kijijini Kwikuba


*Mahudhurio (92.6%):

Sekondari 25 zilihudhuria. Kati ya Sekondari mbili ambazo hazikuhudhuria, moja ni ya binafsi.


SEHEMU YA KWANZA

*Tutaanza kwa kuonyesha ufaulu wa Sekondari zetu kwa miaka mitatu mfululizo (2020-2022)


*Sehemu ya pili ya taarifa itaeleza sababu za ufaulu wetu kutorodhisha, na mapendekezo ya uboreshaji wa mbinu za kujifunza na kufundisha yatatolewa.


Mtiririko wa Ufalu kwa Miaka 3 (2020 - 2022)


Form II (2020)

Kata: Div I-III  10-41%

Binafsi:          87%

Kata: Div IV-0 59-90%

Binafsi:          13%


Form IV (2020)

Kata: Div I-III  6-21%

Binafsi:         100%

Kata: Div IV-0  79-94%

Binafsi:           0%


Form II (2021)

Kata: Div I-III  7-40%

Binafsi:          66%

Kata: Div IV-0 60-93%

Binafsi:          34%


Form IV (2021)

Kata: Div I-III  5-29%

Binafsi:          83%

Kata: Div IV-0  71-95%

Binafsi:          17%


Form II (2022)

Kata: Div I-III  4-20%

Binafsi:          59%

Kata: Div IV-0 80-96%

Binafsi:          41%


Form IV (2022)

Kata: Div I-III  7-39%

Binafsi:          98%

Kata: Div IV-0  61-93%

Binafsi:          2%


*Ufaulu wa Sekondari zetu za Kata hauridhishi


*Nini kifanyike kuboresha na kuongeza uelewa na ufaulu kwenye Sekondari zetu za Kata? Fuatilia sehemu ya pili ya taarifa ya mjadala huu.


Ofisi ya Mbunge

Jimbo la Musoma Vijijini

www.musomavijijini.or.tz



No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages