LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 7, 2023

VIONGOZI WA CCM BUKOMBE WAMSHUKURU MBUNGE WAO BITEKO KUWAPELEKA BUNGENI+video

Mbunge wa Bukombe ambaye pia ni Waziri wa Madini, Dotto Biteko akiwa na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Bukombe aliowaalika kutembelea Bunge jijini Dodoma Februari 6, 2023.

Viongozi hao wamemshukuru mbunge wao Biteko kwa kitendo hicho cha kuwathamini na kuwajali.

Biteko akiwa na viongozi hao mbele ya jengo la Bunge

Biteko akiwaonesha maeneo mbalimbali ya Bunge.
Viongozi hao wakiwa ndani ya Bunge kusikiliza mwenendo wa Bunge hilo

Wakitambulishwa bungeni

Akiwaongoza kwenda Ukumbi wa Bunge wa Msekwa.
Afisa Habari wa Bunge, Omary Machunda akiwapiga msasa kuhusu Bunge na kazi zake.



Walipa pia wasaa wa kuuliza maswali ili kupata uelewa zaidi kuhusu Bunge.





Biteko akiwaongoza kutoka eneo la Bunge baada ya kumaliza ziara.



PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza/kuona kupitia clip hii ya video, viongozi hao wakitembelea  Bunge na kutoa shukrani kwa mbunge wao...

 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages