LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 7, 2023

SUBIRA MGALU AIPONGEZA SERIKALI KUPELEKA TRIL. 11 KWENYE MIRADI MBALIMBALI


 Mbunge wa Viti Maalumu, Subira Mgalu akiwasilisha mchango katika taarifa ya Bajeti bungeni Dodoma Februari 6, 2023, ameipongeza serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupeleka sh. Tril. 11 kwenye miradi mbalimbali nchini.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Sillo akiwasilisha taarifa hiyo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages