LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 7, 2023

SILLO AWASILISHA BUNGENI TAARIFA YA UTEKELEZAJI YA KAMATI YA BAJETI+video


 Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Daniel Sillo akisoma taarifa ya ameishauri serikali kwamba Shirika la Uchumi la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT) kuanzia sasa ianze kuajiri vijana waliopitia JKT ili washiriki kwenye kilimo.

Ametoa ushauri huo alipokuwa akisoma taarifa ya ya utekelezaji wa kamati hiyo bungeni Dodoma Februari 6, 2023.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages