LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 7, 2023

NJEZA AHOJI BUNGENI NI LINI BARABARA YA MBALIZI-CHIGAMBA ITAJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI?+video

Mbunge wa Mbeya Vijijini, Oran Njeza ameiuliza Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi bungeni Dodoma Februari 7, 2023, ni lini itaanza ujenzi kwa kiwango cha lami barabara ya Mbalizi- Chigamba?

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Njeza akipambania ujenzi wa barabara hiyo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages