LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 8, 2023

SHABIBY: UPIGAJI WA NCHI HII UKO WAZIWAZI, 'NG'OMBE SASA WATAVALISHWA SHANGA'+video


 Mbunge wa Ahmad Shabiby wa Jimbo la Gairo akichangia taarifa za kamati bungeni Dodoma Februari 7, 2023, amesema upigaji katika nchi hii ni wa waziwazi na Rais hajui, likiwemo suala la ng'ombe kuvishwa heleni na kwamba siku za baadaye watanzania wasije wakashangaa ng'ombe wakivalishwa shanga viunoni.

Aidha,Shabiby ameshauri wakulima waachwe wauze mazao yao kwa bei wanayotaka na kuwatisha wabunge kwamba wanaotaka washushe bei wasimame waonekane na kitakachowatokea wakati wa uchaguzi hataambulia hata kura mbili.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Shabiby akitoa mchango wake huo bungeni...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages