LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 8, 2023

MIKOA 6 HUTEGEMEA MAJI KUTOKA BONDE LA WAMI RUVU+video

Mkurugenzi Bodi ya Maji, Bonde la Wami /Ruvu, Mhandisi Elibariki Mmassy akielezea utekelezaji wa majukumu ya bodi hiyo katika mkutano na vyombo vya habari kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari -MAELEZO, jijini Dodoma Febrari 7, 2023.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akisema neno la utangulizi.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari -MAELEZO, Zamaradi Kawawa akisema maneno ya utangulizi kabla ya kumkarisha, Msigwa.
Wanahabari wakiwajibika wakati wa mkutano huo.








 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mahandis Mmassy akielezea majukumu ya bodi hiyo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages