LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 24, 2023

RAIS DKT MWINYI AKUTANA NA BODI YA WAKURUGENZI YA T-MARC TANZANIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Bodi ya Wakurugenzi ya T-MARC Tanzania  ukiongozwa  na Bw. Alex Mgongolwa, Mwenyekiti wa Bodi hiyo waliofika Ikulu Zanzibar  kwa kumshukuru Mheshimiwa Rais kwa kuwafungulia Mradi wa Kijana Nahodha wenye lengo la kuwawezesha Vijana katika kufanya shughuli za Maendeleo pamoja na kumkabidhi ripoti ya mpango mkakati wa Taasisi hiyo ya kizawa iliyojikita kwenye kuboresha maswala mbalimbali ya afya katika jamii.










 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages