LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 24, 2023

MKOA WA DODOMA WAPANIA KUWA KIVUTIO CHA BIASHARA NA UWEKEZAJI TANZANIA+video

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule akihutubia wakati wa uzinduzi wa Baraza la Biashara Mkoa huo lenye mpango mkakati wa kuifanya Dodoma kwa kitivo cha Biashara na Uwekezaji nchini Uzinduzi wa baraza hilo ambalo tangu mwaka 2019 halikuwepo, limezinduliwa tena Februari 24, 2023.
Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma, Dkt Fatma Mganga akielezea mpango mkakati wa Baraza hilo.
Mwenyekiti wa TCCIA Mkoa wa Dodoma ambaye pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Baraza la Biashara la Mkoa huo, Khamis Fungameza  akitoa neno kabla ya Mwenyekiti wa Baraza hilo, Senyamule kufunga mkutano huo.
Afisa Biashara Mkuu Kitengo cha Maboresho ya Mazingira ya Biashara , Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Julius Mwambeso akifafanua jambo wakati wa mkutano huo.
Sehemu ya wajumbe wa Baraza hilo wakiwa kwenye mkutano huo.











PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, RC Senyamule, RAS Mganga na Mwenyekiti wa TCCIA Dodoma Fungameza  pamoja na mfanyabiashara Ringo wakizungumza wakati wa uzinduzi wa baraza hilo....


 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages