LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 4, 2023

MUSHASHU: UPUNGUFU WA WATUMISHI UNAFUNIKA KAZI NZURI YA UJENZI WA VITUO VYA AFYA+video

Mbunge wa Viti Maalumu, Bernadetha Mushashu akichangia hoja bungeni Dodoma Februari 2, 2023, amesema kuwa kazi nzuri iliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan ya ujenzi wa vyumba vya madarasa na vituo vya afya vinafunikwa na ukosefu wa watumishi. Pia ameshauri serikali kwa hivi sasa kuacha mambo ya ujenzi huo, ijikite kutoa ajira katika sekta ya afya na elimu ili utoaji huduma uboreshwe.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwalimu Mushashu akitoa ushauri wake huo....
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages