LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 4, 2023

DKT PAULINA: WAZAZI TUVUNJE UKIMYA TUONGEE NA WATOTO ATHARI ZA NGONO, KUTOKOMEZA UKATILI DHIDI YAO+video


 Mbunge wa Viti Maalumu, Dkt Paulina Nahato ameomba wazazi kuwa karibu na watoto kuongea nao mambo ya msingi ikiwemo madhara ya ngono, itungwe sheria kali dhidi wanaowafanyia ukatili watoto ili kuondokana kabisa na tabia hiyo mbaya.

Dkt Paulina ameyasema hayo alipokuwa akichangia hoja khusu ukali huo bungeni Dodoma Februari 2, 2023.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video,Dkt Pauline akitoa mchango wake huo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages