LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 4, 2023

GENZABUKE AMPONGEZA RAIS SAMIA KUUFUNGUA MKOA WA KIGOMA KWA UMEME, BARABARA

Mbunge wa Viti Maalumu, Josephine Genzabuke ameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuunganisha Mkoa wa Kigoma na umeme wa gridi ya Taifa na ujenziunaoendelea wa barabara mkoani humo.Pia ameomba wilaya zilizosalia ziunganishiwe umeme huo. Ametoa pongezi hizo alipokuwa akitoa mchango wake huo bungeni Dodoma Februari 3, 2023.
 

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Genzabuke akitoa pongezi hizo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages