LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 23, 2023

MSIGWA: PRESSCARD SASA KUPATIKANA KWA NJIA YA MTANDAO+video


 Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari-MAELEZO, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akizungumza wakati wa kuhitimisha mkutano wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) na vyombo vya habari kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari -MAELEZO jijini Dodoma Februari 23, 2023, amesema kuwa wanakamilisha mazungumzo na eGA kuwezesha kazi nyingi za MAELEZO kufanyika kwa njia ya mtandao na Presscard pia kupatikana kwa njia hiyo.


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Msigwa akielezea walivyojiandaa kutekeleza hayo....


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages