LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 23, 2023

SERIKALI MTANDAO YAAHIDI MAKUBWA KUIPELEKA TANZANIA KIDIJITALI+video

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA), Mhandisi Benedct Ndomba akizungumza katika mkutano na vyombo vya habari kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari-MAELEZO jijini Dodoma Februari 23, 2023, kuhusu utekelezaji wa majukumu  ya mamlaka hiyo.


Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akizungumza maneno ya utangulizi wakati wa kumkaribisha Mkurugenzi Mkuu wa eGA, Mhandisi Ndomba.

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari -MAELEZO, Zamaradi Kawawa akiongoza mkuta huo.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mhandisi Ndomba akielezea mafanikio hayo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages