LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 4, 2023

CHATANDA MWENYEKITI WA UWT TAIFA ATAMBULISHWA BUNGENI +video

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake  Tanzania (UWT) Taifa, Mary Chatanda akitambulishwa  na Naibu Spika wa Bunge, Mussa Zungu bungeni Dodoma Februari 3, 2023. Chatanda amewahi kuwa Mbunge kwa kipindi cha miaka 15.
Naibu Spika wa Bunge, Mussa Zungu akimtambulisha Mary Chatanda.
Chatanda akiwa amekaa jukwaa la wageni wa Spika. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu UWT Tannzania Bara, Riziki Kingwande na msaidizi wake.  



Naibu Katibu Mkuu UWT Tanzania Bara, Riziki Kingwande akitambulishwa.

Chatanda akiondoka bungeni baada ya kutambulishwa.
Chatanda akipiga picha za kumbukumbu na baadhi ya wabunge nje ya lango kuu la kuingilia bungeni.

Akisalimiana na baadhi ya wabunge.







 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza/ona kupitia clip hii ya video, Chatanda alivyochangamkiwa bungeni....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages