Mkuu wa wilaya ya Same Kasilda Jeremiah Mgeni akizungumza na wakuu wa Idara pamoja na Taasisi mbalimbali Wilaya ya Same mala baada ya kupokelewa.
DC Kasilda Mgeni ametoa shukrani za dhati kwa wakuu wa Idara zote kwa mapokezi makubwa ambayo hakutarajia na kusema hii inaonesha mshikamono mkubwa huliopo kwa viongozi hao katika uwajibikaji wa kazi
Aliendelea kusema na kuwaomba wakuu wa Idara zote kuendelea kushirikiana kwa pamoja lengo ni mkusaidia Dkt Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwatumikia wananchi na kusimamia miradi yote ambayo inayoendelea kwenye wilaya huu
Aliyekuwa DC wa Same Edward Mpogolo amewaomba wakuu wa Idara zote kumpa ushirikiano wa kutosha mkuu wa Wilaya mpya wa Same na kuonyesha uzalendo kwa Taifa letu kama viongozi hili tuweze kuwatumikia Wananchi wote kwa ujumla
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇