Mhe Mary Chatanda, Mwenyekiti wa UWT Taifa amekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson alipomtembelea Februari 3, 2023 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. #UWTImara #JeshiLaMama #KaziIendelee
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇