LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 2, 2023

BAHATI NDINGO ATOA USHAURI KWA WAZIRI MKUU WANAFUNZI WAPEWE USHAURI KABLA YA KUADHIBIWA+video

                                          vide

Mbunge wa Viti Maalumu, Bahati Ndingo ametoa ushauri kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwamba uwekwe utaratibu wa kuwapatia ushauri wanafunzi watukutu kabla ya kuadhibiwa kwa kuchapwa viboko. Ametoa ushauri huo wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu Majaliwa bungeni Dodoma Februari 2, 2023 alipotoa ufafanuzi wa adhabuza wanafunzi shuleni wakati wa kipindi cha maswali kwa PM.


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Ndingo akitoa ushauri huo....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages