LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 2, 2023

MBUNGE KASAKA AHOJI BUNGENI NI LINI MRADI WA MAJI WA MATWIGA UNAOSUASUA UTAKAMILIKA?


 Mbunge wa Lupa wilayani Chunya, Masache Kasaka amehoji bungeni Dodoma Februari 2, 2023 kuwa ni lini Serikali itakamilisha ujenzi wa Mradi wa Matwiga Face One ili wananchi wa Kipembawe waanze kunufaika.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Kasaka akiwapigania wananchi wa jimbo lake...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages