LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 2, 2023

PUMPU ZA MRADI WA MAJI MATWIGA ZAWASHWA BAADA YA MBUNGE KASAKA KUKIWASHA BUNGENI


 

Mbunge wa Lupa wilayani Chunya, Masache Kasaka baada ya leo kuhoji bungeni Dodoma Februari 2, 2023 kuwa ni lini Serikali itakamilisha ujenzi wa Mradi wa Matwiga Face One ili wananchi wa Kipembawe waanze kunufaika, tayari pumpu za mradi huo zimewashwa mchana. Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video,maji yakianza kutoka....
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages