LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 9, 2023

UWT YAMPONGEZA RAIS SAMIA KUWEKA HISTORIA, WANAFUNZI MILIONI MOJA WAANZA KIDATO CHA KWANZA.


                                       

UONGOZI wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), umempongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuweka historia  kwa Wanafunzi 1,000,000 kuanza kidato cha kwanza maeneo mbalimbali nchini.


UWT ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mary Chatanda imetoa pongezi hizo leo kwa Rais Samia  kwa kufanya maajabu katika kipindi chake kifupi cha uongozi wake kufanikisha ujenzi wa vyumba vya madarasa 23,000 vilivyowezesha Wanafunzi hao kwa mpigo kuanza shule leo.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages