LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 9, 2023

MAKAMU WA RAIS DK. MPANGO AWASILI PEMBA, LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango, leo Januari 9, 2023 amewasili Pemba kuongoza shughuli za ufunguzi wa Miradi mbalimbali ya Maendeleo ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Pichani, Makamu wa Rais akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Pemba👇 





 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages