Baadhi ya wajumbe wa Sekretarieti mpya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM TAIFA) wakiongozwa na Katibu Mkuu Daniel Chongolo (waliokaa katikati) wakati wa sherehe za mapokezi katika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma Januari 24, 2023.
Chongo akivishwa skafu na vijana wa Green Guard wakati wa mapokezi hayo.
Chongolo akipatiwa shada la maua.
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Mbarouk Nassoro Mbarouk akipatiwa shada la maua.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Sophia Edward Mjema akipatiwa shada la maua.
Katibu wa NEC, Oganaizesheni, Issa Haji Usi Gavu akipokea shada la maua.
Naibu Katibu Mkuu CCM Tanzania Bara, Annamringi Macha akipokea zawadi ya shada la maua.
Naibu Katibu Mkuu CCM, Zanzibar, Mohemed Said Dimwa, akipokea zawadi ya shada la maua.
Wajumbe wa Sekretarieti.
Chongolo akikagua gwaride la Green Guard.
Chongolo akisalimiana na baadhi ya viongozi.
Baadhi ya wakuu wa wilaya, viongozi wa dini na makada wa ccm.
Baadhi ya wa wajumbe wa Baraza la Wazee Mkoa wa Dodoma.
Makada wa chama
Baadhi ya wazee wa kimila
Makatibu wa Jumuiya za CCM. Kutoka kushoto ni Kenani Kihongosi (UVCCM), Gilbert Kalima (WAZAZI) na Philis Nyimbi (UWT).
Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo akihutubia wakati wa mapokezi hayo.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇