LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 24, 2023

WAZIRI NAPE AUNDA KAMATI YA KUTATHMINI HALI YA UCHUMI KATIKA VYOMBO VYA HABARI+video


Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameunda Kamati Maalumu ya Kutathmini Hali ya Uchumi katika Vyombo vya Habari na Wanahabari na kuitangaza mbele ya vyombo vya habari jijini Dodoma, Januari 24, 2023.

Wanahabari wakiwa katika mkutano huo.




Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Jim Yonazi (kulia) akiwa kwenye mkutano huo uliofanyika Idara ya Habari Maelezo.

PICHA ZOTE RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri Nape pamoja na mambo mengine akiitangaza kamati hiyo....

 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages