Vijana wa hamasa wakiwa na shamrashamra wakati wa mapokezi ya wajumbe wapya wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu yaTaifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Makao Makuu ya CCM Dodoma leo Januari 24, 2023. IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇