Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, katika Kikao chake kilichofanyika Dodoma, tarehe 06 Disemba 2022, pamoja na mambo mengine, ilifanya tathmini ya Mwenendo wa Uongozi wa Chama katika kipindi cha miaka mitano (2017 – 2022).
Katika kikao hicho, Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa imempongeza Dkt. Ali Mohamed Shein (Makamu Mwenyekiti wa CCM – Zanzibar) pamoja na viongozi wote wa Chama wa ngazi ya Taifa, Mikoa, Wilaya, Majimbo, Kata/Wadi na Matawi kwa uongozi wao uliotukuka na heshima kubwa waliokipatia Chama Cha Mapinduzi kwa kipindi chote cha miaka mitano (2017 – 2022).
Kipekee, Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa inatambua na kuthamini mchango mkubwa wa Dkt. Ali Mohamed Shein kwa uongozi wake mahiri wenye kuzingatia weledi, uadilifu, uzalendo, busara na hekima kwa nyadhifa zote alizotumikia katika Chama na Serikali zote mbili; Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Hakika, aina ya uongozi alioonesha Dkt. Ali Mohamed Shein ni Dira na Mwongozo kwa ustawi wa Chama chetu na Maendeleo ya Taifa letu. Kwa uchache, kutokana na uongozi wake, Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, itakumbuka misingi imara ifuatayo iliyowekwa na Dkt, Ali Mohamed Shein wakati anaponga’atuka katika uongozi wa Chama: –
(a) Uboreshaji wa Miundombinu ya barabara, madaraja, uwanja wa ndege wa Kimataifa, huduma za Elimu, Afya na Maji. Mfano, ujenzi wa barabara ya Kaskazini Unguja kuanzia Bubu hadi Kinyasini na barabara katika Mikoa miwili ya Pemba, pamoja ujenzi wa Skuli za ghorofa katika Wilaya zote 10 za Zanzibar.
(b) Uboreshaji wa maslahi ya watumishi wa umma. Mfano, Kuongezeka kwa kima cha chini cha Mishahara hadi shilingi 300,000/= kwa mwezi sambamba na kuanzisha pensheni ya wazee kwa kuwapatia kima cha shilingi 20,000/= kwa mwezi kila mzee mwenye umri wa miaka 70.
(c) Dkt. Ali Mohamed Shein alisimamia maridhiano ya kisiasa kwa kuasisi Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye Muundo wa Umoja wa Kitaifa.
(d) Dkt. Ali Mohamed Shein alisimamia harakati zilizowezesha kupatikana kwa ushindi wa CCM wa kihistoria wa asilimia 76 katika uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020. Katika uchaguzi huo, CCM iliweka historia ya kushinda majimbo 14 kati ya 18 kwa upande wa Pemba, jambo ambalo halikuwahi kutokea tangu kuasisiwa kwa siasa za Mfumo wa vyama vingi mwaka 1992.
(e) Kuimarisha umoja na mshikamano miongoni mwa wanachama wa CCM na Jumuiya zake katika ngazi zote za uongozi kuanzia Shina hadi Taifa.
Kwa kuhitimisha, Chama cha Mapinduzi, kinamshukuru Dkt. Ali Mohamed Shein kwa mchango wake alioutoa kwa Chama na Serikali akiwa Kiongozi. Aidha, Chama kitaendelea kutumia uzoefu wake wa uongozi katika ushauri wa masuala mbalimbali. Mwisho, Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa inamtakia siha njema katika majukumu yake.
ORODHA YA MAJINA YA WANACHAMA WA CCM WANAOOMBA KUTEULIWA KUGOMBEA NAFASI YA HALMASHAURI KUU Y A CCM TAIFA NEC VITI 15 ZANZIBAR.
KUNDI LA WANAUME
Ndg. Nabil Ahmed ABDALLA
Ndg. Abdi Ismail ABUUBARAK (Matoroba)
Dr Hassan Rashid ALI
Dr. Abdulhalim Mohammed ALI
Ndg Khamis Salum ALI
Ndg Suleiman Makame ALI
Ndg Ali Suleiman ALI (Shihata)
Ndg Amin Salmin AMOUR
Ndg Bakari Hamad BAKAR
Ndg Abdul-fatah Hamad BAKAR
Ndg Rajab Omar BAKAR (Bimshibe)
Ndg Ali Khamis BAKAR (Doholo)
Ndg Hamad Ahmed BAUCHA
Ndg Dkt. Hashim Hamza CHANDE
Ndg. Abdalla Maulid DIWANI
Ndg. Mohamed Issa HAJI
Ndg. Ali Amour HAJI
Ndg. Khamis Yussuf HAMAD
Dkt. Soud Nahoda HASSAN
Ndg. Ali Abdul-gulam HUSSEIN
Ndg. Parmukh Singh HOOGAN
Ndg. Jaddy Simai JADDY
Ndg. Daudi Khamis JUMA
Ndg. Juma Sururu JUMA
Ndg. Abdulhafar Idrissa JUMA
Eng. Nassir Ali JUMA
Ndg. Hamza Hassan JUMA
Ndg. Ali Abeid KARUME
Ndg. Shamata Shaame KHAMIS
Ndg. Zubeir Juma KHAMIS
Ndg. Khamis Hamza KHAMIS (Chilo)
Ndg. Khamis Mbeto KHAMIS (Mambo)
Ndg. Khamis Salim KHAMIS
Ndg. Khamis Rashid KHEIR (Makoti)
Ndg. Suleiman Masoud MAKAME
Dkt. Abdulla Hasnuu MAKAME
Ndg. Othman Ali MAULID
Ndg. Mbarouk Nassor MBAROUK
Prof. Makame Mnyaa MBARAWA
Ndg. Omar Zubeir MBWANA
Ndg. Shaame Simai MCHA
Ndg. Joseph Abdalla MEZA
Ndg. Mmanga Mjengo MJAWIRI
Ndg. Louis Henry MAJALIWA
Ndg. Abdallah Idrissa MAJURA
Ndg. Hussein Migoda MATAKA
Ndg. Mohamed Aboud MOHAMED
Ndg. Mahfoudh Abdalla MOHAMED
Ndg. Ali Juma MOHAMED (Raza)
Ndg. Mohamed Said MOHAMED (Dimwa)
Ndg. Abass Ali MWINYI
Ndg. Salum Ubwa NASSOR
Ndg. Cassian Gallos NYIMBO
Ndg. Omar Abdalla OMAR
Ndg. Abdalla Miraji OTHMAN
Ndg. Suleiman Juma PANDU
Dr. Joanness Justas PETRO
Ndg. Mbaraka Said RASHID
Dkt. Abdulla Juma SAADALA (Mabodi)
Ndg. Mattar Ali SALUM
Ndg. Juma Ali SIMAI
Ndg. Mohamed Mussa SEIF (Mkobani)
Ndg. Shaka Hamdu SHAKANdg. Pandu Salim SUNGURA
Ndg. Haroun Ali SULEIMAN
Ndg. Mudrik Ramadhan SULEIMAN (Soraga)
Ndg. Suleiman Haroub SULEIMAN (Bapee)
Ndg. Issa Haji USSI (Gavu)
KUNDI LA WANAWAKE
Ndg. Asha Ramadhan ABDALLA
Ndg. Pili Bakari ABDISALAMI
Ndg. Khadija Hassan ABOUD
Ndg. Mvita Mustafa ALI
Ndg. Maryam Omar ALI
Ndg. Luluwa Salum ALI
Ndg. Shara Ame AHMEID
Ndg. Latifa Nassor ABDi
Ndg. Yasmin Yusufali ALOO
Ndg. Hasina Shaibu AME
Ndg. Chiristina Joram ANTHON
Ndg. Mwanamkasi Rajab AZIZ
Ndg. Maimuna Elias BARABARA
Ndg. Mwanamvua Mussa BILAL
Dk. Maudline Cyrus CASTICO
Ndg. Amina Andrew CLEMENT
Ndg. Najma Murtaza GIGA
Ndg. Fatma Abeid HAJI
Ndg. Sabah Bakari HASSAN
Ndg. Zainab Said HASSAN
Ndg. Raya Mkoko HASSAN
Ndg. Samia Ali HUSSEIN
Ndg. Waride Bakari JABU
Ndg. Faidhat Khamis JUMA
Ndg. Mgeni Hassan JUMA
Ndg. Aneth Aniceth KAMALA
Ndg. Sienu Subeti KAMNA
Ndg. Mwantatu Mbaraka KHAMIS
Ndg. Maryam Mohamed KHAMIS
Ndg. Hafsa Said KHAMIS
Ndg. Tunu Juma KONDO
Ndg. Lilian Grace LIMO
Ndg. Amina Iddi MABROUK
Ndg. Jamila Flavian MAHEMBA
Dr. Sira Ubwa MAMBOYA
Ndg. Fatma Hamza MOH’D
Ndg. Lucy John MPEMBO
Ndg. Aziza Rashid MUSSA
Ndg. Lela Mohamed MUSSA
Ndg. Lucy Eduard MWAKYEMBE
Ndg. Tabia Maulid MWITA
Ndg. Mary Saimon MKULILA
Ndg. Leilah Birhan NGOZI
Ndg. Amina Khamis OMAR (Mama Afrika)
Ndg. Anna Athanas PAUL
Ndg. Mwanakhamis Kassim SAID
Dkt. Saada Mkuya SALUM
Ndg. Rahma Mohamed SANYA
Ndg. Shadya Shaaban SEIF
Ndg. Saada Salum SIMBA
Ndg. Time Bakar SHARIF
Ndg. Harusi Said SULEIMAN
Ndg. Saadie Hamid SULEIMAN
Ndg. Ummul-kulthum Ambar UJUDI
Ndg. Mtumwa Peya YUSSUF
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇