LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 6, 2022

MWENYEKITI WA CCM RAIS DK. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA NEC CHENYE WAJUMBE WAPYA NA WANAOMALIZA MUDA WAO, JIJINI DODOMA, LEO

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa  (NEC) ya CCM, kilichofanyika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, leo. Kikao hicho leo kimekuwa na Wajumbe wapya na wanaomaliza muda wao. Wajumbe wapya waliohudhuria ni Wajumbe wa NEC wa mikoa na Viongozi wapya wa CCM waliochaguliwa hivi karibuni ambao ngazi za nyadhifa zao zinawawezesha kushiriki vikao vya NEC
Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo akizungumza kutoa utangulizi katika kikao hicho
Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. Samia akianza kuungurumisha kikao hicho
Makamau Mwenyekiti wa CCM Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akiwa kwenye kikao hicho.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais na Mwenyekiti w Serikali ya Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi (Katikati) akiwa na wajumbe wenzake kwenye Kikao hicho. Kulia ni Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango na kushoto ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Wajumbe wakiwa kwenye kikao hicho.
Wajumbe wakiwa kwenye kikao hicho.
Wajumbe wakiwa kwenye kikao hicho.
Wajumbe wakiwa kwenye kikao hicho.
Kikao hicho Kikiendelea
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka (kulia) akiwa makini kwenye kikao hicho.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Dk. Hussein Mwinyi alipokuwa akiingia ukumbini kwenye kikao hicho
Wajumbe wakishangilia alipokuwa Mwenyekiti akiingia Ukumbini kuendesha Kikao Hicho.
Wajumbe wakishangilia alipokuwa Mwenyekiti akiingia Ukumbini kuendesha Kikao Hicho. Kushoto ni  Mwenyekiti mpya wa UVCCM Mohamed Ali Mohammed (Kawaida) na anayemfuatia ni Mwenyekiti pia mpya wa UWT Mary Chatanda.
Wajumbe wakishangilia wakati Mwenyekiti akiingia Ukumbini kushoto ni Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Wazazi na anayemfuatia ni Mjumbe wa NEC mkoa wa Dar es Salaam, Juma Simba Gadaffi

 MATUKIO MBALIMBALI NJE YA UKUMBI👇

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages