LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 6, 2022

MWENYEKITI WA CCM RAIS SAMIA AKAGUA MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU WA 10 WA UNAOTARAJIA KUFANYIKA JIJINI DODOMA KUANZIA KESHO

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa Rais Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan  akikagua ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete utakaotumika kwa Mkutano Mkuu wa Kumi wa CCM kesho na kesho kutwa jijini Dodoma.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa Rais Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama hicho Ndugu Daniel Chongolo pamoja na Viongozi wengine wa Chama mara baada ya kuwasili kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma kwa ajili ya kuangalia na kukagua maandalizi ya Mkutano Mkuu wa 10 wa CCM unaotarajiwa kufanyika tarehe 07-08 Desemba, 2022





Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa Rais Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua maandalizi mbalimbali ya Mkutano Mkuu wa 10 wa Chama unaotarajiwa kufanyika kuanzia kesho tarehe 07-08 Desemba, 2022 katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.



 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages