Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wajumbe alipokuwa akiingia ukumbini kufungua Mkutano Mkuu wa Kumi wa chama hicho kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Novemba 7, 2022.
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia akiteta jambo na Katibu Mkuu wa chama hicho, Komredi Daniel Chongolo wakati wa mkutano huo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Kanali mstaafu Abdulrahman Kinana (kulia) akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa chama hicho, Daniel Chongolo.
Wajumbe kutoka Mkoa wa Njombe..
Wajumbe kutoka Kusini Unguja
Wajumbe kutoka KigomaWajumbe kutoka Singida
Wajumbe kutoka Dar es Salaam.
Wajumbe kutoka Mtwara
Sehemu ya mkutano huo
Wajumbe kutoka Mkoa wa Lindi
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇