LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 7, 2022

MWENYEKITI WA CCM, RAIS SAMIA ASISITIZA UMOJA NA MSHIKAMANO+video


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais Samia Suluhu Hassan akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa chama hicho, Daniel Chongolo wakati wa ufunguzi wa mkutano Mkuu wa Kumi wa chama hicho kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Disemba 7, 2022.
 
Wajumbe wa mkutano mkuu na baadhi ya wageni waalikwa.











PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Samia na Chongolo wakihutubia wakati wa mkutano huo....


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages