LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 20, 2022

ZAIDI YA WAJUMBE 800 KUSHIRIKI UCHAGUZI JUMUIYA YA WAZAZI CCM TAIFA+video


 Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi, Gilbert Kalima akielezea kuhusu maandalizi ya mkutano mkuu wa uchaguzi wa viongozi w jumuiya hiyo ngazi ya Taifa unaotarajiwa kufanyika jijini Dodoma Novemba 24 na 25 mwaka huu.

Akizungumza na vyombo vya habari jijini Dodoma Novemba 19, Kalima amesema kuwa zaidi ya wajumbe 800 kutoka Tanzania Bara na Zanzibar watashiriki kwenye mkutano huo na kwamba maandalizi yako tayari.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Kalima akielezea kuhusu maandalizi hayo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages