LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 20, 2022

LUSINDE AMTAKA DKT BASHIRU AACHIE NGAZI KWA KUKEREKA RAIS KUUPIGA MWINGI+video


 Mbunge wa Mvumi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Livingstone Lusinde amemtaka Katibu Mkuu wa zamani wa chama hicho na Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, kuachia ubunge kwa kushindwa kulisemea vizuri 'jimbo lake la Ikulu' pamoja na kukereka watu wanapompongeza Rai Samia Suluhu Hassan kuwa anaupiga mwingi anapotimiza majukumu yake.

Lusinde ameyasema hayo leo jijini Dodoma Novemba 20,2022 alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, kushtushwa na kauli hiyo ya Dkt Bashiru aliyoitoa alipokuwa akihutubia katika mkutano wa Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (MVIWATA) mjini Morogoro mwishoni mwa wiki. Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Lusinde akimtaka Dkt Bashiru aachie ngazi...IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages