LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 20, 2022

CHONGOLO: CHAMA HIKI NI KIKUBWA, KIKIAMUA KUVUTA KAMBA TULIYOKUFUNGIA, TUNAMALIZANA NA WEWE+video


video

 "Chama hiki ni kikubwa, kikishajua kwamba huyu tumemfunga kamba miguuni kinakuacha uzurure tu kama mbuzi, kikiamua kuvuta, kinavuta mara moja, hakuna mwenye uwezo wa kukimbia kamba ipo mguuni, wewe  nenda zunguka zunguka tu, tukiamua kuvuta tunamalizana na wewe bila shida" Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages