LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 21, 2022

CHONGOLO: TUMEFUTA, TUMESIMAMISHA CHAGUZI ZENYE CHANGAMOTO+video

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ametangaza mbele ya vyombo vya habari jijini Dodoma leo Novemba 21, 2022, kuwa wamefuta na kusimamisha chaguzi zenye changamoto katika maeneo mbalimbali nchini.

Chongolo alikuwa anaelezea kuhusu maendeleo ya chaguzi za CCM zinazoendelea zinazoendelea nchini.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Chongolo akizungumzia mambo hayo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages