LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 21, 2022

KIMBISA ANENA MAKUBWA BAADA YA KUSHINDA UENYEKITI WA CCM DODOMA+video

Adam Kimbisa akionesha ishara ya kumshukuru Mungu kwa kuchaguliwa na wajumbe kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma katika uchaguzi uliofanyika kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Novemba 21, 2022.
Mwenyekiti wa Muda wa mkutano huo wa uchaguzi CCM Mkoa wa Dodoma, Spika mstaafu, Job Ndugai akifurahia jambo na Katibu Mkuu wa mkoa huo, Pili Augustino wakati wa uchaguzi huo.

Kimbisa akijadiliana jambo na Mwenyekiti mstaafu wa CCM Mkoa wa Dodoma, Godwin Mkanwa baada ya kujinadi kwa wajumba kuomba kura.


Mbunge wa Dodoma mjini, Anthony Mavunde  akitumbukiza kura kwenye kisanduku wakati wa kuchagua wajumbe wa Halmashauri ya mkoa.
Wagombea wakionesha namba zao kwa wapiga kura waliopo meza kuu.

 Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake (UWT) Mkoa wa Dodoma, Neema Majule akitumbukiza kura kwenye kisanduku wakati wa kuchagua wajumbe wa Halmashauri ya mkoa.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Kimbisa akitangazwa na kutoa ahadi...IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages