LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 22, 2022

KWAYA YA NYARUGUSU ILIVYOMKOSHA RAIS SAMIA+video

Kwaya ya Nyarugusu iliyomfurahisha Rais kwa wimbo wa kizalendo.
Rais Samia Suluhu Hassan amefurahishwa na Kwaya ya AY Nyarugusu iliyotumbuiza kwa wimbo w kizalendo alipokuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Jubilee ya miaka 50 ya kazi ya utume na huduma ya Kanisa la Waadventista wa Sabato Jiji la Dodoma Novemba 19 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.
Rais Samia akiwa katika picha ya pamoja na Kwaya ya Nyarugusu.

 Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Kwaya ya Nyarugusu ikitumbuiza na Rais Samia akielezea kufurahishwa nayo....
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages